Wagonjwa Muhimbili waanza kuhamishwa Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu, ameagiza wagonjwa wasiotakiwa kufanyiwa upasuaji waliopo hospitali ya taifa Muhimbili kuhamishiwa hospitali ya Mloganzila. Read more about Wagonjwa Muhimbili waanza kuhamishwa