Wajue vizuri wapinzani wa Yanga leo
Klabu ya soka ya Yanga leo inashuka dimbani kuanza mbio za kuwania ubingwa wa Afrika kwa vilabu maarufu kama Ligi ya Mabingwa Africa, ambapo itacheza na mabingwa wa soka wa Shelisheli Saint Louis Suns United, kwenye uwanja wa Taifa.

