Wasiohusika na twakimu, Magufuli awashukia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewataka wanaotoa takwimu zisizo kuwa sahihi wachukuliwe hatua kali za kisheria ili kukomesha vitendo hivyo ambayo vinatokea mara kwa mara hapa nchini.