Nikki wa Pili aikumbuka 'sekta isiyo rasmi'.

Msanii anayewakilisha kundi la weusi  Nikki wa pili amefunguka na kusema kuwa bado ajira kwa vijana ni changamoto kubwa licha ya kuwepo na matamko yanayosema vijana ambao hawana ajira wapo katika sekta isiyo rasmi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS