CCM wapingwa uchaguzi wa Spika EALA
Meya wa zamani wa Jiji la Dar es Salaam na Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Adam Kimbisa kupitia CCM, amewekewa pingamizi kugombea nafasi ya Spika wa Jumuiya hiyo na muwakilishi kutoka Uganda Freddy Mbidde kwa madai ya kupokezana uongozi.