Mkurugenzi Mtendaji CRDB kuachia ngazi Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt. Charles Kimei ametangaza kutoongeza mkataba pindi mkataba wake wa sasa utakapomalizika Mei 31, 2019. Read more about Mkurugenzi Mtendaji CRDB kuachia ngazi