Ujumbe wa Makamba kwa CCM na JPM Katibu Mkuu wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Makamba amesema sifa za pekee ziwaendee waasisi wa Taifa, Julius Nyerere na Abeid Amani Karume kwa kulitetea taifa hadi kufika leo. Read more about Ujumbe wa Makamba kwa CCM na JPM