China yafanya mazoezi karibu na Taiwan
Mazoezi hayo ambayo yanayodhaniwa kuwa yanaweza kuendelea hadi kesho Disemba 30, yanahusisha vikosi vya anga, majini na ardhini, huku yakilenga kuonyesha uwezo wa kijeshi wa China na msimamo wake kuhusu suala la Taiwan, ambayo Beijing inaiona kama sehemu ya eneo lake.

