Rais Magufuli apongezwa Rais John Magufuli Rais John Magufuli amepongezwa na mjumbe maalum wa Rais wa Rwanda na aliyewahi kuwa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Donald Kaberuka kwa kuweza kuweza kusimamia ukuaji wa uchumi nchini Tanzania. Read more about Rais Magufuli apongezwa