Serikali kuwachukulia hatua wakandarasi
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso amesema wizara yake haitasita kumchukulia hatua mkandarasi yeyote atabainika kuwa chanzo chakukwamisha utekelezaji wa miradi ya maji katika maeneo mbalimbali nchini.