Chanzo cha Shilole kuolewa kimya kimya
Msanii Zuwena Mohamed, maarufu kama Shilole amesema kilichomfanya afunge ndoa kimya kimya ni kutokana na ushauri alioupata kutoka kwa Maustadhi kuwa siku ya ndoa ina mambo mengi na 'husda' nyingi, ndio maana alifunga ndoa kimya kimya.