Jaji Mkuu awaonya viongoz wa serikali na wanasiasa
Jaji Mkuu wa Tananzania, Profesa Ibrahimu Juma
Jaji Mkuu wa Tananzania, Profesa Ibrahimu Juma amewataka viongozi wa serikali na vyama vya siasa kuacha mara moja vitendo vya kuingilia mhimili wa Mahakama na kuvunja amri zake.