Kiongozi wa TFF ateuliwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Africa (CAF)limemteua Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF Ahmed Mgoyi kuwa Kamishna wa mchezo wa Kombe la Shirikisho. Read more about Kiongozi wa TFF ateuliwa