''Azam FC ni mwaka wetu huu''

Mkurugenzi mtendaji wa klabu ya Azam FC Abdul Mohamed amesema huu mwaka ni wa timu hiyo kufanya vizuri na ikiwezekana kutwaa ubingwa wa ligi kuu soka Tanzania Bara.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS