Kilimanjaro Stars yalizwa Kilimanjaro Stars imeshindwa kutamba dhidi ya ndugu zao Zanzibar Heroes baada ya kukubali kichapo cha magoli 2-1 katika uwanja wa Kenyatta uliopo eneo la Machakos Kenya. Read more about Kilimanjaro Stars yalizwa