Jambazi Komando auwawa Dar es salaam Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limewauwa majambazi watatu akiwemo raia wa Burundi ambao walikuwa wakifanya uhalifu katika maeneo mbalimbali ya jiji hilo na nchini kwa ujumla. Read more about Jambazi Komando auwawa Dar es salaam