Kifaa cha kujifunzia Kingereza chasambazwa
Wadau mbalimbali wa elimu kwa kushirikiana na Serikali wamesambaza vifaa maalum vya kufundishia somo la Kingereza mashuleni ili kusaidia kumaliza changamoto na kuongeza uelewa kwa wanafunzi wa sekondari mkoani tanga.