MOI yafanya upasuaji wa ubongo uliokuwa nje Taasisi ya Mifupa (MOI) imefanikisha kufanya upasuaji mkubwa wa kurudisha ubongo wa mtoto wa miezi minne ndani ya kichwa baada ya mtoto huyo kuzaliwa huku ubongo wake ukiwa kwenye mfuko nje ya kichwa. Read more about MOI yafanya upasuaji wa ubongo uliokuwa nje