Mourinho awapinga mashabiki Kocha wa Manchester United Jose Mourinho amekwenda tofauti na mashabiki wa soka kwa kusema, golikipa namba moja wa klabu hiyo David De Gea anashika namba tatu kwa ubora duniani. Read more about Mourinho awapinga mashabiki