Aliyesambaza picha za hosteli azidi kukomaliwa

Mwanafunzi na Mbunge wa wanafunzi Dawson Kumbusho amehamishwa kituo cha Polisi kutoka Oysterbay na kupelekwa kituo cha kati (Central) leo asubuhi baada ya kuripoti kituoni hapo kama jinsi ambavyo alivyotakiwa hapo jana baada ya kupewa dhamana.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS