Kauli za Wenger na Mourinho kuhusu Sanchez Baada ya michezo yao ya jana kauli za makocha wa timu za Arsenal Arsene Wenger na Manchester United Jose Mourinho zilionesha kuwa usajili wa wachezaji Sanchez na Mkhitaryan uko mbioni kukamilika. Read more about Kauli za Wenger na Mourinho kuhusu Sanchez