Calisah atolewa kwenye list Mbunifu maarufu wa mavazi nchini Mustafa Hassanali, ameonekana kwenda kinyume na matakwa ya mwanamitindo wa kiume bongo Calisah, akisema kuwa kijana huyo sio mwanamitindo kabisa Read more about Calisah atolewa kwenye list