Mahakama ya Kisutu yagoma kufuta mashtaka

Mahakama ya Hakimu Mkuu mkazi Kisutu imekataa kuyafuta mashtaka 20 ya utakatishaji fedha kati ya 43 yanayomkabili aliyekuwa muhasibu wa TAKUKURU Godfrey Gugai na wenzake na kusema kuwa mashtaka hayo kwa sasa yana nguvu kisheria.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS