Video :Watoto wa Ukonga miyeyusho - Godzilla
Msanii wa miondoko ya 'hip hop' nchini, Godzilla amefunguka kwa kuwachana wasanii wenzake wanaoishi Ukonga Jijini Dar es Salaam kwa kuwaambia ni miyeyusho japokuwa ni ndugu zake wa kipindi kirefu na bado anawalea.