Taifa Stars kibaruani Afrika Kusini leo
Kikosi cha Taifa Stars leo kinatarajiwa kutupa karata yake ya kwanza kuwania ubingwa wa mashindano ya Kombe la Cosafa kwa kuikabili Malawi katika mechi ya Kundi A itakayopigwa leo jijini Johanesburg, Afrika Kusini.

