OKWI ATUA MJINI Simba imethibitisha kuwa mshambuliaji Emmanuel Okwi ametua nchini usiku wa kuamkia leo kwa ajili ya kumalizia mazungumzo ya kuijiunga na klabu hiyo. Read more about OKWI ATUA MJINI