VIDEO : Snura awakanya wasanii
Muimbaji na muigizaji bongo, Snura Mushi amewakanya vijana wanaotaka kuingia katika tasnia ya sanaa waepukane na vishawishi vya kujihusisha na matumizi ya dawa za kulevya huku akidai kufanya hivyo hakufanyi uonekane unaenda na wakati.

