Hatma ya mchele wa Plastiki yapatikana
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Chakula na dawa {TFDA}, Hiiti Sillo amewatoa wasiwasi wananchi wa Tanzania kwa kuwaambia mpaka sasa hawajapokea taarifa yeyote ya kuonesha kuwa kuna mchele wa plastiki katika masoko makubwa na madogo ya mchele.

