Nabebeka : Saida Karoli

Baada ya kurudi kwenye game ya bongo fleva na ngoma mpya 'Orugambo', Mkongwe Saida Karoli amewataka wapenzi wote wa muziki waweze kumbeba ili asipotee tena kama ilivyokuwa hapo awali baada ya kukosa sapoti pamoja na ukosefu wa fedha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS