Sprite BBall kings kutikisa kesho

Michuano ya Sprite BBall Kings inatarajiwa kuendelea kutimua vumbi siku ya kesho kwa kuzikutanisha timu 10 zinaazowania kutinga hatua ya nane bora ya mashindano hayo katika uwanja wa Harbors Club uliopo Mivinjeni, Jijini Dar es salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS