Bongo Movie tunawajua zaidi kwa mengine - Nikki Nikki wa Pili Rapa Nikki wa Pili kutoka katika kundi la Weusi amefunguka na kusema kuwa wasanii wengi wa bongo movie wanafahamika kwa mambo mengi na si kufahamika zaidi kutokana na kazi zao za kila siku. Read more about Bongo Movie tunawajua zaidi kwa mengine - Nikki