Mbunge wa Kawe Halima Mdee kushoto, Kulia ni Mbunge wa Bunda Mjini Ester Bulaya
Mbunge wa jimbo la Kawe, Mh. Halima Mdee na Mbunge wa jimbo la Bunda Mjini, Mh. Esther Bulaya wamesimamishwa kuhudhuria vikao vyote vya Bunge vinavyoendelea mpaka mkutano ujao wa Bunge la Bajeti la mwaka 2018/19.