Hiki ndicho kilichomkatisha tamaa Azma Mponda

Azma Mponda

Msanii Azma Mponda ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake ' GaraGasha' ambao amewashirikisha Sugu, Izzo Bizness na Abela Music, amefunguka na kusema ilifika wakati alikata tamaa ya kufanya muziki na kuamua kutafuta kazi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS