Wasanii wapata ulaji serikalini Annastazia Wambura Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema ipo katika mchakato wa kuanzisha 'Mfuko wa Maendeleo ya Sanaa' ambao utakuwa unawasaidia wasanii kuinua kipato chao. Read more about Wasanii wapata ulaji serikalini