VIDEO : Mimi ni danga - Riyama Muigizaji Riyama Ally Muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Riyama Ally amekanusha zile tetesi za yeye kumganda mume wake kwa wivu mpaka katika kazi zake anazozifanya za kimuziki na kudai yeye aliombwa kufanya hivyo. Read more about VIDEO : Mimi ni danga - Riyama