Polisi Dar kuwasaka wanaohusika na utekaji
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limesema limeweka vikosi maalum maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es salaam ili kuwabaini watu wanaojihusisha na vitendo vya utekaji watu pamoja na uvunjifu wa amani ambavyo vimeleta wasiwasi katika jamii