Kocha MC Alger aitambia Yanga

Yanga Vs MC Alger, Dar es Salaam

Kocha Mkuu wa Mouloudia Club d'Alger, Kamel Mouassa amesisitiza kuwa hawatarudia makosa yaliyotokea kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya mtoano ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Yanga waliochapwa bao 1-0, kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS