Simba yazinasa mezani pointi 3 za Kagera

Kikosi cha Simba

Klabu ya Simba imepewa rasmi pointi 3 na mabao matatu baada ya kushinda rufaa yake dhidi ya Kagera Sugar wanaodaiwa kumtumia mchezaji aliyekuwa na kadi tatu za njano kinyume cha kanuni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS