Poppe amkana Bocco na wenzake
Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa Mabingwa wa Kombe la Shirikisho nchini Simba SC, Zakaria Hans poppe amekanusha timu yake kuwasajili wachezaji Aishi Manula, John Bocco, Shomari Kapombe pamoja na Emmanuel Okwi na kusema taarifa hizo ni za uongo.

