Roma na wenzake wasimulia walivyotekwa
Msanii Roma Mkatoliki amesimulia kilichomkuta siku ya Jumatano wiki iliyopita huku akieleza kusikitishwa na maneno yanaayoenezwa kuwa yeye na wenzake wamepewa pesa na viongozi wa kisiasa kwa ajili ya kutengeneza 'kiki' kwa maslahi yao binafsi.