Mke wa Rais afanya 'birthday' kwa kutoa msaada
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli leo ameadhimisha siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa wagonjwa katika Taasisi ya Magonjwa ya Saratani ya Ocean jijini Dar es salaam na kutoa wito kwa Watanzania kusaidia watu wenye mahitaji.