Flora aliacha kwaya kwa ajili yangu - Mbasha
Mwanamuziki wa nyimbo za Injili Emmanuel Mbasha amefunguka kuwa aliyekuwa mke wake (Flora) alilazimika kuacha uimbaji wa kwaya na kuamua kuimba kama muimbaji wa kujitegemea baada ya kumshauri afanye hivyo.