Rwanda na Tanzania zakubaliana haya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu pamoja na mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame wamekubaliana kushirikiana katika masuala ya kibiashara ili kuhakikisha biashara kati ya nchi hizo zinaimarika.