Watanzania waliokuwa Sudan waanza kurudi nyumbani

Ndege iliyobeba watanzania

Watanzania 200 na baadhi ya raia wa mataifa mengine waliokuwa Sudan wanatarajiwa kuwasili nchini hii leo Aprili 27, 2023, kupitia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS