Bernard Membe afariki dunia Bernard Membe enzi za uhai wake Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Kamilius Membe, amefariki dunia muda mfupi uliopita katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam. Read more about Bernard Membe afariki dunia