Kalinaki Rais wa Wahariri Afrika Mashariki

Daniel Kalinaki

Jumuiya ya Wahariri Afrika Mashariki imemchagua Daniel Kalinaki wa Jukwaa la Wahariri Uganda kuwa Rais wa Jumuiya ya Wahariri Afrika Mashariki kuanzia Mei 12, 2023, ambapo ataongoza kwa mwaka mmoja.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS