Ancelotti amtaka Kaka kwenye benchi la Brazil

Carlo Ancelotti na Kaka

Nyota wa zamani wa AC Milan Kaká yuko mbioni kujiunga na timu ya taifa ya Brazil kama kocha Msaidizi chini ya kocha mkuu Carlo Ancelotti anayetarajiwa kujiunga na timu hiyo hivi karibuni 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS