Berkane wathibitisha fainali kupigwa Z'Bar
Baada ya tetesi kusambaa kuhusu mchezo wa mkondo wa pili Kombe la shirikisho barani Afrika kupigwa Uwanja wa Amaan Zanzibar, Klabu ya RS Berkane imethibitisha kupitia mtandao wao wa kijamii wa Instagram kuwa mchezo huo utapigwa New Amaan Zanzibar Mei 25/2025 badala ya Uwanja wa Mkapa.