Massau Bwire aivimbia Simba katika VPL, Jumatano Mechi ya Simba na Ruvu Shootimg, misimu miwili iliyopita Michuano ya Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara inaendelea kesho Jumatano Septemba 7, kwa michezo mitatu kupigwa katika viwanja vitatu tofauti Read more about Massau Bwire aivimbia Simba katika VPL, Jumatano