Sheria ya kuwalinda watoa taarifa yaanza kutumika
Tanzania imeanza kutumia sheria mpya ya kuwalinda watoa taarifa za uhalifu na makosa pamoja na mashahidi wa makosa mbalimbali waliyoshuhudia yakitendeka kwa kuwapatia ulinzi wa kisheria ili kuongeza mapambano dhidi ya uhalifu nchini.